MRADI WA KILIMO CHA MBOGA KUPITIA SHAMBA DARASA. – TASWIRA IMEANZISHA MRADI WA KILIMO CHA MBOGA KWA NJIA YA MATUMIZI YA MBOLEA YA ASILI NA KUPUNGUZA KIWANGO AU KUTOKUTUMIA VIUATILIFU VYENYE SUMU. – LENGO NI KUWAJENGEA UWEZO WANACHAMA WA ASASI KATIKA MPANGO WEZESHI WA AWALI KUELEKEA KATIKA MPANGO WEZESHI JAMII. – MRADI HUO UNAHUSISHA MBOGA ZIFUATAZO MCHICHA WA MBEGU ZA ASILI NA MBEGU ZA LISHE, BAMIA, CHINESE SPENACH, VITUNGUU, PILI PILI HOHO, PILI PILI... | (Not translated) | Hindura |