Asili (Kiswahili) | Kiswahili |
---|---|
Wanafunzi wa shule ya msingi ya Mburahati iliyopo jijini Dar es Salaam, wakifundishwa namna ya kuepuka mimba za utotoni na magonjwa ya kuambukiza. Mafunzo hayo yaliendeshwa na viongozi wa YAD kwa kujitolea. 13/07/2007. |
(Bila tafsiri) |
Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe