CDDF imezindua mradi wa BUSTANI YA DHARURA KWA FAMILIA (kwa kingereza FAMILLY EMERGENCY GARDEN) FEG. Mradi huu umetekelezwa sehemu nyingi duniani na kuleta mafanikio makubwa. (image) – Mradi huu unasaidia kuboresha lishe,kupunguza matumizi ya kununua mboga sokoni ili fedha hiyo itumike kwa mahitaji mengine na kusaidia akina mama kupata mahitaji karibu wakiwa kwenye maandalizi yao ya jikoni. ... | CDDF has launched an emergency program GARDEN FOR FAMILIES (in English FAMILLY EMERGENCY GARDEN) FEG. This project has been implemented in many parts of the world and bring you success. (image) – This project helps improve nutrition, reduce the use of the market to buy vegetables that should be used to finance other needs to help mothers get close with the needs of their preparation kitchen.... | Edit |