HALI HALISI YA MAISHA BAADA YA MAFURIKO JIJINI DAR ES SALAAM – kama umebahatika kutembelea maeneo ambayo yamekumbwa na mafuriko katika jiji hili,hali ni mbaya sana kwa wakazi wa maeneo hayo.Nyumba nyingi ziko kwenye tope zito huku tope hilo likiwa limechanganyika na kinyesi cha binadamu. – hali ya maisha kwa ujumla imekuwa ngumu sana kiasi kwamba wengine wamekata tamaa ya kuishi.Wapo wazazi ambao wana watoto wa shule,lakini tangu shule zinafunguliwa hawajaenda... | THE PURE LIFE after the floods in Dar es Salaam – as has been fortunate to visit areas that have suffered from flooding in this city, the situation is very bad for the residents of the areas most yo.Nyumba located in thick mud with mud as it limechanganyika and human waste. – conditions of life in general has become so complex that some have despaired of kuishi.Wapo parents who have children in school, but since school zinafunguliwa not go to school due to lack of... | Edit |