HOTUBA YA MKURUGENZI MTENDAJI MBARALI MHESHIMIWA GEORGE KAGOMBA KWENYE SEMINA YA MAFUNZO YA PETS YALIYYOENDESHWA NA ASASI YA MAGEA KWA UFADHILI WATHE FOUNDATION FOR CIVIL SOCIETY TAREHE 12/11/2011, MJINI RUJEWA MBEYA.
Mhe: Mkurugenzi alianza kwa kutoa shukrani kwa mwaliko wa kuja kufunga semina na hatimaye kukabidhi vyeti vya kufuzu washiriki wa mafunzo ambao ni wananchi wa vitongoji vine(4). Pia alipongeza wananchikwa ari yao ya ushiriki wa mafunzo hayo kwani alisema sasa “mmepata fursa... | (Not translated) | Hindura |