(image) – Vingozi wa vijiji wapatao 52 toka vijiji 26 vya kata 6 tarafa ya Busega ya Wilaya mpya ya Busega wakiwa katika kikao cha pamoja na viongozi wa FODEO ili kuwawezesha kutambua umuhimu wa kuzingatia misingi ya Uwazi na uwajibikaji ili kuimarisha maendeleo ya jamii na utawala bora katika maeneo ya vijiji wanavyoviongoza,ikiwa ni umuhimu wa kutambua hatua za kuwashirikisha wananchi katika kuibua miradi mbalimbali ya maendeleo na kuiwezesha jamii kusimamia... | (Not translated) | Edit |