(image) – uongozi wa chama cha albino wilaya ya kinondoni unaomba msaada kwa mtu yeyote mwenye mapenzi mema na albino achangie mchango wa hali na mali kwa ajili ya kuwezesha watoto albino wa wilaya ya kinondoni ambao wameshindwa kusomeshwa na wazazi wao ambao wengine hawana uwezo na wengine wamewatelekeza. kwahivyo chama kinaomba kisaidiwe kuwawezesha watoto hawa kupata elimu. kwa kuwa chama chenyewe hakina uwezo wa kuwasomesha kwakuwa hakina chanzo chochote... | (Not translated) | Edit |