mkuu wa wilaya ya Misungwi akiingia ofisi ya MISUNGWI VIJANA SACCOS akiwa amefuatana na mwenyekiti wa bodi ya Saccos hiyo bwana ABDALLAH MOHAMED RAMADHAN ,AFISA UTAMADUNI NA MICHEZO , AFISA VIJANA WA WILAYA AMBAYE PIA NDIO KATIBU WA SACCOS HIYO. ambayo hivi sas imekuwa suluhisho kwa wajasiriamali wadogo wa misungwi (image) | (Bila tafsiri) | Hariri |