Chanhamoto. Katika kila suala lolote la maendeleo katika jamii yote ile changamoto ni suala ambalo haliepukiki katika mtizamo wa mpango ambo ni yakinifu kwa usitawi wa maendeleo ya kijamii. – - Uelewa mdogo wa elimu kwa baadhi ya wanavikundi. Hapa wanavikundi wetu wengi hawakuwa na elimu ya kutosha juu ya huduma zitilewazo na NSSF. – -Idadi ndogo ya wanavikundi wakati wa zoezi hili la kuelimisha na kuhamasisha jamii ijiunge na mfuko wa hifadhi ya jamii ya NSSF.... | (Not translated) | Hindura |