Tarehe 13 June 2014 shirika la vijana Viyoso la mjini Morogoro lilitembele na kuwaona watoto yatima wano lelewa katika kituo cha watoto cha mgolole Manispaa ya Morogoro. – Akizungumza kwa niaba ya kituo Mlezi mkuu Sista Yasinta aliwashukuru vijana hao kwa moyo wa lio uonyesha na kuitaka jamii kuiga mfano wa shirika hilo la vijana – Akiongezea sista Yasinta alisema "watoto hawa wanafarijika sana wanapowaona mnawatembelea kwani jukumu hili si la mgolole tu pali ni Jamii... | (Not translated) | Hindura |