Mradi wa Kuendesha Ulingo wa Mabaraza ya Rasimu ya Kabtiba Mpya – Kwa ufadhili wa foundation for civil Society asasi ya LiDO imeweza kuendesha washa hiyo kwa muda wa siku tatu tangu 26 hadi 28/2013. – washa hii iliyo fanyikia kwenye kivuli cha RM hotel ilikuwa ya tofauti na iliweza kuhudhuliwa na watu wapatao 109 wa jinsia zote na makundi mchanganyiko. Habari kamili tutazipata hivi... | (Not translated) | Hindura |