(document) TAARIFA FUPI YA UTEKELEZAJI WA MRADI WA UTETEZI, JINSIA NA UKIMWI. – Mtandao wa Mashirika yasiyo ya Kiserikali Wilayani Masasi (MANGONET) umetekeleza mradi wa kupambana na maambukizi ya UKIMWI kupitia shughuli za utetezi jinsia na UKIMWI chini ya ufadhili wa shirika la Ujerumani GIZ. – Kwa mkoa wa Mtwara mradi huu umetekelezwa katika Wilaya mbili za Masasi (MANGONET) na... | (Bila tafsiri) | Hariri |