(image) – Watoto wanaoishi na virusi vya ukimwi wanaosoma katika shule ya msingi kagera (W)Ukerewe wakiwa wanasubiri kupewa msaada wa unga wa rishe na mfafakazi wa shirika la Mzeituni Foundation kupitia mradi uofadhiriwa na Halmashauri ya wilaya ya Ukerewe ambao ulifafika mwezi wa jan- Feb 2011 – Watu wenye mapenzi mema na watoto hawa wanakaribishwa kuwasaidi zaidi maama wanaishi na bibi zao wasio kuwa na uwezo wa kuwahudumia... | (Bila tafsiri) | Hariri |