Mradi wa kuku mkombozi wa wanawake Singida. – In Summary – “Kipindi cha nyuma niliwahi kuhudhuria mafunzo ya ufugaji yaliyoendeshwa na Tasaf juu ya ufugaji bora na wakisasa na pia asasi ya RWDA, baada ya kuhitimu mafunzo haya sikusita kuja kuwafundisha wanakijiji wenzangu hususani wanawake na ndio maana unaona kuna mabanda mengi yanayofanana katika eneo hili” anasema mwenyekiti huyu wa UWAVYU. – Ni umbali wa... | (Bila tafsiri) | Hariri |