Wananchi watakiwa kutunza mazingira – Na ASIA KILAMBWANDA, Mtwara – Wananchi Mkoani Mtwara wametakiwa kutotupa taka hovyo hususani katika maeneo ya pwani ya bahari ya bandari ya Mtwara na badala yake watunze na kuhifadhi maeneo hayo kwa kuwa ni... | (Not translated) | Hindura |