Mpango wa utoaji wa elimu ya watu wazima vijijini uungwe mkono – Na ASIA KILAMBWANDA – Taaluma ni nyenzo kubwa ya kufikia maendeleo , pia huharakisha mipango ya kufika katika Nyanja mbalimbali za kiuchumi, kijamii na hata kisiasa bila kujali taaluma hiyo ni nadharia ama vitendo inategemea jinsi ya matumizi ya taaluma hiyo. – Katika kulifahamu hili Halmashauri ya wilaya ya Mtwara Vijijini kwa kushirikiana na shirika la kimataifa la... | (Not translated) | Hindura |