MAISHA MAPYA MABWEPANDE BAADA YA MAFURIKO. – Ni mji mpya kwa sasa,unaopatikana km 37 kutoka jijini Dar es salaam na upo upande wa kusini magharibi mwa jiji hilo,unaotegemewa kukaliwa na familia zipatazo 1800,baada ya makazi yao kuharibiwa kwa mafuriko ya tarehe 20/12/2011. – Jumapili ya tarehe 22/01/2012,msururu wa magari ya jeshi la wananchi wa Tanzania ukiambatana na viongozi wengine wa mkoa wa Dar es salaam,waliwasili katika eneo la Mabwepande tayari kuwakabidhi... | (Not translated) | Hindura |