kambarage counseling group ni kikundi kilichoanzishwa mwaka 1999 na kupata usajili tarehe 18/11/2005 nakupewa hati no,03NGO/0543 . kikund kimeshafanya kazi mbali mbali kwa kushirikiana na mashirika mengine katika kuelimisa,kutetea na kupinga mila potofu ya ukeketaji. | (Bila tafsiri) | Hariri |