(image) WATOTO WANAHITAJI NINI KUTOKA KWA WALEZI NA VIONGOZI – Kutoka kwenye Familia: – kulishwa,usafi,kuvalishwa,kuwekwa salama na kuwa katika hali njema.lishe bora pamoja na mlo kamili na kunyonya maziwa ya mama hadi kufikia miaka miwili ni muhimu kwa ajili ya kukua kwa mwili na ubongo. kuhakikisha usalama wa mtoto ... | (Not translated) | Hindura |