Ndazigula: Walimu hakikisheni idadi ya wasiojua kusoma kuandika inapungua – Na ASIA KILAMBWANDA – Mwenyekiti wa halmashauri ya Mtwara vijijini Musa Saidi Ndazigula amewataka walimu kuhakikisha idadi ya wanafunzi wasiojua kusoma na kuandika inapungua au kutoweka kabisa kwa kuhakikisha anajitioa kutumia muda wa ziada kuwasaidai wanafunzi wasiojua kusoma na kuandika . (image) – Ndazigula amesema hayo katika ufunguzi wa... | (Not translated) | Hindura |