(image) Baadhi ya washiriki wakiwa wanapata mafunzo ya PETS yaliyotolewa na la Mzeituni Foundation kwa ufadhili wa shirika la Forum Syd kutoka nchini Sweden katika kata ya Mriti tarehe 24-26/1/2011
(image) Baadhi ya picha ya wafadhili wa mradi wa ufuatiliaji na uwajibikaji kwa umma wakiwa wanaongea na mmoja wa wanawarsha wa mafunzo ya PETS huko Mriti 24-26/01/2011 yaliyoendeshwa na shirika la mzeituni foundation wakiwa wanafanya ufuatiliaji wa... | (Not translated) | Hindura |