| Habari wana harakati,Kijogoo Group For Community Development ya Mjini Morogoro,inatoa taarifa kwa wadau juu ya mpango wake wa kutekeleza mradi wa SAM sekta ya Afya Tarafa ya Vigoi Wilaya ya Ulanga pindi tutakapoingiziwa fedha za Mfadhili. – Mradi huo utatekelezwa kwa ufadhili wa The Foundation For Civil Society ya Dar es Salaam nchini Tanzania. – Utekelezaji wa mradi huo utagharimu fedha kiasi cha Tsh,44,500,300/= shilingi milioni arobaini na nne laki... | (Not translated) | Hindura |