Wamiliki wa viwanda Tanzania waokoeni wakulima. – WAKATI wa uongozi wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Tanzania ilikuwa nchi ya Wakulima na Wafanyakazi. Katika kipindi hicho, wafanyakazi walikuwa ngangari hali kadhalika wakulima walikuwa wanaringa kutokana na kufaidi jasho lao. – Kipindi cha mwalimu, mambo yote yalikuwa hadharani, kwani wakulima kutoka kila mkoa, wilaya, tarafa, kata na vijijini walitekeleza wajibu wao kwa uhakika. ... | Tanzania factory owners save farmers. – During the leadership of Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Tanzania was the Farmers and Workers. During this period, workers were likewise ngangari were small farmers to benefit from their labor. – During the teacher, all things were not publicly, as farmers from each province, district, division, ward and village they perform their duties effectively. – Indeed residents of Kilimanjaro,... | Edit |