TEYODEN NA TRA MAKAO MAKUU WAFANYA MAFUNZO KWA VIJANA 100, KUHAM ASISHA URASIMISHAJI WA BIASHARA NA ULIPAJI WA KODI. – (image) (image) – Tunasema kuwa hakuna wakati ambao vijana wanahitaji kuongeza juhudi za kujiajiri wenyewe kuliko kipindi hiki.Vijana wengi sasa wameanzisha biashara ili waweze kukidhi mahitaji ya kila siku ya maisha. – Upo umuhimu mkubwa wa vijana kupata elimu mbalimbali ili waweze... | (Bila tafsiri) | Hariri |