(image) (image) Relaxer na Afya ya Msichana/Mwanamke. – Relaxer ni dawa ya nywele inayofanya nywele za mtu mwenye ngozi nyeusi wa asili ya Afrika zilainike na kunyooka kama nywele za wazungu. Watu wengi hasa wanawake wanapenda kutumia relaxer ili nywele zao ziwe na mwonekano tofauti. Kihistoria matumizi ya relaxer... | (Bila tafsiri) | Hariri |