Joshua Stern Mkurugenzi Mtendaji – (image) Baada ya kumapata shahada yake ya sayansi ya kompyuta kutoka chuo cha Stanford, Joshua Stern alienda kujitolea Peace Corps Tanzania ambapo alifanya kazi ya kujenga miundombinu ya kompyuta na kutoa elimu ya msingi ya ICT. Joshua ni mwanzilishi mwenza wa Envaya, alianzilisha sirika hii mwaka 2010 kwa lengo la kujenga jukwaa ya programu inayowezesha uhusiano kati...(This translation refers to an older version of the source text.)