Ongezeko la shule za sekondari za kata limeleta maisha mapya kwa wanafunzi wanaosoma shule hizo.Wanafunzi wengi wanatoka mbali na shule zilipo na hivyo kuishia kupanga vyumba mtaani katika vikundi na kuishi waisha ya kuchangia kila kitu (maisha ya geto). – Maisha ya geto kwa wanafunzi ni njia mbadala ambayo wanafunzi wanatumia ili kukabiliana na uhaba wa... | Increased county schools has caused new life to students who are attending school are mostly from hizo.Wanafunzi away from school when they rent rooms and it ended up on the street in groups and live a life of sharing everything (the life of the ghettos). – Life ghettos for students is an alternative that students use to deal with the shortage of hostels... | Edit |