Ongezeko la shule za sekondari za kata limeleta maisha mapya kwa wanafunzi wanaosoma shule hizo.Wanafunzi wengi wanatoka mbali na shule zilipo na hivyo kuishia kupanga vyumba mtaani katika vikundi na kuishi waisha ya kuchangia kila kitu (maisha ya geto). – Maisha ya geto kwa wanafunzi ni njia mbadala ambayo wanafunzi wanatumia ili kukabiliana na uhaba wa... | (Not translated) | Hindura |