Wizara ya Maliasili na Utalii inatoa taarifa kuwa Tanzania itakuwa mwenyeji wa Kongamano la Kwanza la Africa kuhusu Uendeshaji, Changamoto na Fursa za Uhifadhi wa Mbuga za Wanyamapori na Meneo yaliyohifadhiwa. Ifuatayo ni taarifa kamili kwa umma. – JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA – WIZARA YA MALIASILI NA... | (Not translated) | Hindura |