Dira – Dira ya RITA ni kuwa chombo chenye ufanisi katika utoaji wa huduma za usajili, ufilisi na udhamini. – Dhima – Dhima ya RITA ni kusimamia haki kwa usimamizi wenye ufanisi wa kumbukumbu muhimu za maisha ya binadamu, ufilisi na udhamini ili kuchangia katika maendeleo ya taifa. – Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) linakusudia katika utoaji wa habari nzuri na thabiti juu ya matukio... | (Not translated) | Hindura |