Envaya
Tafsiri
:
English (en)
: Interface Text
Chujio:
Zote
Bila tafsiri
Zenye tafsiri
Unapproved
Approved
« Iliyotangulia
1
2
3
4
...
29
30
31
Ifuatayo »
Asili
English
Tafadhali ingiza jina lako.
Please enter your name.
(This translation refers to an older version of the source text.)
Hariri
Jina lako kamili:
Your full name:
(This translation refers to an older version of the source text.)
Hariri
Ukurasa huu unakuruhusu kujiandikisha akaunti ya binafsi katika Envaya.
This page allows you to register a personal user account on Envaya.
(This translation refers to an older version of the source text.)
Hariri
Asante kwa kutumia Envaya!
Thanks for using Envaya!
(This translation refers to an older version of the source text.)
Hariri
Kusoma maagizo kuhusu kuanza kutumia Envaya, na kujifunza vitu unavyofanya na tovuti yako mpya, tembelea ukurasa wetu wa %s hapa:
For instructions on how to get started using Envaya, and to learn what you can do with your new website, visit our %s page here:
(This translation refers to an older version of the source text.)
Hariri
Kufanya hivyo, fungua kuhariri tovuti yako hapa:
To do this, log in to edit your website here:
(This translation refers to an older version of the source text.)
Hariri
Sasa, endelea kujenga tovuti yako kwa kuchagua mchoro, kuongeza habari na picha, na kuongeza kurasa nyingine kuhusu historia, miradi na timu za shirika lako, na kadhalika.
Now, continue building your website by choosing a design, adding news and photos, and adding other pages about your organization's history, projects, team, and other topics.
(This translation refers to an older version of the source text.)
Hariri
Hongera! Tovuti yako imekubaliwa kwenye Envaya na inaonekana sasa:
Congratulations! Your website has been approved by Envaya and it's now online:
(This translation refers to an older version of the source text.)
Hariri
Tovuti yako imekubaliwa
Your website has been approved
(This translation refers to an older version of the source text.)
Hariri
Ukurasa wako mkuu umeumbwa.
Your homepage was created successfully.
(This translation refers to an older version of the source text.)
Hariri
Tuuone!
Let's see it!
(This translation refers to an older version of the source text.)
Hariri
Bonyeza kitufe hapo chini kuona ukurasa wako mkuu!
Click the button below to view your homepage!
(This translation refers to an older version of the source text.)
Hariri
Baadaye unaweza kubadilisha usanii wa tovuti yako kwa kuongeza nembo ya shirika lako juu ya ukurasa wako.
Later you can customize the design of your website by adding your organization's logo at the top of each page.
(This translation refers to an older version of the source text.)
Hariri
Kama kuna 'Nyingine', zitaje:
If 'Other', specify:
(This translation refers to an older version of the source text.)
Hariri
Secta nyingi zimechaguliwa kwa shirika lako. Tafadhali chagua hadi sekta 5 tu.
Too many sectors selected for your organization. Please select at most 5 sectors.
(This translation refers to an older version of the source text.)
Hariri
« Iliyotangulia
1
2
3
4
...
29
30
31
Ifuatayo »