Envaya
Tafsiri
:
English (en)
: Interface Text
Chujio:
Zote
Bila tafsiri
Zenye tafsiri
Unapproved
Approved
« Iliyotangulia
1
2
3
4
...
39
40
41
Ifuatayo »
Asili
English
Futa Ujumbe
Cancel Message
(This translation refers to an older version of the source text.)
Hariri
Tunga Ujumbe
Compose Message
(This translation refers to an older version of the source text.)
Hariri
Peleka Ujumbe
Send a Message
(This translation refers to an older version of the source text.)
Hariri
Jina la mtumiaji au email %s halionekani katika Envaya. Hakikisha kuwa umeichapisha sahihi na jaribu tena.
The username or email address %s was not found on Envaya. Make sure you have typed it correctly and try again.
(This translation refers to an older version of the source text.)
Hariri
Kama uliliomba, bonyeza kiungo chini kubadili neno lako la siri:
If you requested this, click on the link below to change your password:
(This translation refers to an older version of the source text.)
Hariri
Mtu fulani ameomba neno jipya la siri kwa akaunti yako.
Somebody has requested a new password for your account.
(This translation refers to an older version of the source text.)
Hariri
Ombi kwa neno jipya la siri
Request for new password
(This translation refers to an older version of the source text.)
Hariri
Akaunti hii haina anwani ya email, kwa hiyo haiwezekani kubadilisha neno la siri. Tafadhali tuma fomu ya chini na data yako, na msimamizi wa Envaya atajaribu kuwasiliana nawe kuthibitisha kwamba unaweza kufungua akaunti hii.
This account does not have an email address, so the password cannot be reset. Please fill out the form below with your contact information, and a representative of Envaya will try to contact you to verify that you should have access to this account.
(This translation refers to an older version of the source text.)
Hariri
Umeomba neno jipya la siri. Soma email yako kuona ujumbe toka Envaya, na bonyeza kiungo ndani.
Successfully requested a new password. Check your email for a message from Envaya and click on the link inside.
(This translation refers to an older version of the source text.)
Hariri
Peleka ombi
Submit request
(This translation refers to an older version of the source text.)
Hariri
Pata neno jipya la siri
Reset password
(This translation refers to an older version of the source text.)
Hariri
Ikiwa wewe ni mwakilishi wa shirika la jumuiya ya kiraia Tanzania ambalo halijajiandikisha kwa Envaya, %s.
If you are a representative of a civil society organization in Tanzania that hasn't yet registered for Envaya, %s.
(This translation refers to an older version of the source text.)
Hariri
Neno la siri limesahauliwa?
Forgot password?
(This translation refers to an older version of the source text.)
Hariri
Bonyeza kwa maelekezo
Click for instructions
(This translation refers to an older version of the source text.)
Hariri
Kulikuwa na kosa kwa kufungua katika Envaya. Tafadhali hakikisha browser yako inaruhusu cookies kutoka '%s' na jaribu tena.
There was an error logging into Envaya. Please ensure that your browser accepts cookies from '%s' and try again.
(This translation refers to an older version of the source text.)
Hariri
« Iliyotangulia
1
2
3
4
...
39
40
41
Ifuatayo »