Base (Igiswayire) | English |
---|---|
jumuiya ya Juyata imeongeza Ubia na Jumuiya ya Sober Tanzania na imeamua kuanza kufanya kazi pamoja huko katika Mji wa Dar es salaam. Kuunga mkono mkono juhudi za Sober Tanzania katika mapambano dhidi ya Madawa ya kulevya pia katika klupambana na madawa ya kulevya jumuiya ya Tawwabiina imeongeza ubia na shirika la kimataifa la INTERNATIONAL GREEN CRESCENT lenye makao makuu katika nchi ya uturuki katika mji wa instambul shirika hili la kimataifa linajihusisha na utoaji wa elimu kuhusu uteja wa aina zote [addiction] katika jamii likifanya kazi katika nchi mbalimbali duniani ikiwemo Tanzania |
The assosiation of Juyata has joint it's force with Sober Tanzania Assossiation and work together with common priority and expertise. The target focus is to mitigate the use of drug abuse for the youth Tanzanians and raise them to better traits. The assosiation has it's headquarter in Dar es salaam Tanzania. |
Ibyasobanuwe
|