Fungua

Tafsiri: English (en): Maandiko ya Watumiaji: dMyJb9fqNQrXsFGGi70MydPk:content

« Iliyotangulia   ·   Ifuatayo »
Asili ((unknown language)) English

Ukweli tumefurahishwa kwa kiasi kikubwa na HOTUBA ya mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndg.Dr.J.M.Kikwete jana akiwa Ukumbi wa BUNGE mjini DODOMA.Ni hotuba iliyojibu hoja nyingi zilizokosa majibu na zilizoleta sintofahamu miongoni mwa watanzania hasa tuliozoea umoja na ushirikiano tukiwa na sifa ya pekee ya ukarimu hasa pale tulipogubikwa na hali ya kutengwa katika jumuiya ya Afrika ya Mashariki.

Mheshimiwa Rais pamoja na mabo mengine aliweza kulizungumzia suala hili kwa mapana yake kiasi kwamba tumejisikia AMANI hasa ukizingatia kwamba Tanzania ni nchi iliyopigana zaidi kuhakikisha kwamba nchi nyingine jirani na Tanzania zinapata Uhuru japo sisi tulishapata Uhuru mapema.

Tuzidi kuomba kwa ajili ya shirikisho salama na lenye tija kama tunavyo amini.

MUNGU IBARIKI TANZANIA,MUNGU UBARIKI UMOJA WA AFRIKA YA MASHARIKI.

(Bila tafsiri)

Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe