Base (Swahili) | English |
---|---|
Moja ya maswala ya msingi yanayo sababisha wanafunzi wengi kufeli kidaato cha IV ni;- SIASA kuingilia mfumo wa elimu.Ambao viongozi wanataka sifa ya kuingiza wanafunzi wengi wasio na sifa badala ya kuzingatia ufaulu wao.Mfano wanathubutu hata kushusha alama za za kufaulu ili tu ionekane eti ni kiongozi bora kumbe hora. Sababu ya pili ni serikali kutojali mchango wa walimu katika suala zima la elimu,kuna halmashauri ambazo walimu walisha GOMA siku nyingi kwa kutosikilizwa na kupatiwa haki na stahili zao.mfano mwalimu hajapandishwa cheo kwa miaka zaidi ya 7 au halipwi madai yake ya msingi.Hata kama ni wewe huwezi kufanya kazi kwa moyo katika hali hiyo. |
One of the primary issues which led many students of IV kidaato failure are: - POLITICS leads elimu.Ambao system leaders want to incorporate features many students without regard to performance characteristics than wao.Mfano they dare even lower marks to pass just so intimate that it's a good leader when he Hora. The second reason is government neglect the contribution of teachers in terms of education, there is a council that teachers were already dance days for kutosikilizwa to be fair and worthy zao.mfano teacher has promoted for more than 7 years or not paid its claims based ngi.Hata as are you able to work with the heart in it. |
Translation History
|