Base (English) | English |
---|---|
Katika jamii nyingi suala hili limekua changamoto kubwa kwani watoto huachishwa kunyonya hata kabla ya kufikia umri huo. je mikakati ipi inaweza kusaidia kupunguza tatizo hili ili kuwa na watoto wenye afya kimwili na kiakili, pia kupunguza hali ya udumavu kwa watoto. |
(Not translated) |