Asili (Kiswahili) | English |
---|---|
Tume ya sayansi yajiandaa kuwanufaisha wakulima.TUME ya Sayansi na Teknolojia (Costech) imeandaa mpango maalumu kwa ajili ya kuanza kuwasaidia wakulima nchini ili waweze kunufaika kupitia kilimo.Mpango huo unatarajiwa kuanza mwakani na utawahusisha wakulima wote nchini. TUME ya Sayansi na Teknolojia (Costech) imeandaa mpango maalumu kwa ajili ya kuanza kuwasaidia wakulima nchini ili waweze kunufaika kupitia kilimo.Mpango huo unatarajiwa kuanza mwakani na utawahusisha wakulima wote nchini. Akizungumza Dar es Salaam jana, Mkurugenzi wa Idara ya Uhawilishaji na Uendelezaji Sayansi na Teknolojia wa Costech, Dk Dugushilu Mafunda alisema wakulima wengi wamekuwa wakilima kwa mazoea huku wakiwa hawana ushauri wa ufundi. “Huu ni mpango maalumu wa agro business… tunayalea mawazo yao hadi wanaingia kwenye soko kwa sababu wengine hawana hata ushauri wa ufundi au elimu ya biashara,” alisema Dk Mafunda. Pia, Costech imewashauri watu wenye ugunduzi mbalimbali ambao hawana uwezo wajitokeze kusaidiwa ili uweze kuendelezwa. Kwa muda mrefu sasa tume hiyo imekuwa ikiwasaidia wagunduzi na wajasiriamali kuwapatia mafunzo, ushauri wa kitaalamu na fedha ili kufanikisha mawazo yao. “Watu wenye mawazo ya ugunduzi wajitokeze wasaidiwe, kwa sababu tunatoa msaada kwa wajasiriamali na watu wote wanaojihusisha na uendelezaji uhawilishaji wa sayansi na teknolojia,” alisema. Alisema katika mpango huo, mgunduzi hutakiwa kupeleka mchanganuo kuhusiana na kile anachotaka kukifanya, baada ya Costech kujiridhisha humwezesha mgunduzi huyo. Alisema mgunduzi husika hujengewa uwezo wa kuingia kwenye soko na kupata faida na kwamba, akishindwa hawezi kupewa tena fedha badala yake hutakiwa kurejesha alizopewa. Miongoni mwa walinufaika kupitia mpango huo, ni Shirika la Kutengeneza Magari la Nyumbu ambalo hivi karibuni lilipatiwa Sh200 milioni kwa ajili ya kutengeneza vipuri mbalimbali vya garimoshi zikiwamo breki...... |
Commission scientists yajiandaa benefiting farmers.Commission for Science and Technology (COSTECH) has developed a special program for the start in order to help farmers benefit through kilimo.Mpango is expected to begin next year and will involve all farmers in the country. Commission for Science and Technology (COSTECH) has developed a special program for the start in order to help farmers benefit through kilimo.Mpango is expected to begin next year and will involve all farmers in the country. Speaking in Dar es Salaam yesterday, the Director of the Department of Transfer and Development COSTECH Science and Technology, Dr Dugushilu mouthful said many farmers have been cultivating for practices with no technical advice. "This is a special program of Agro Business ... we yalea their minds until they enter the market because they do not even consult other technical or business education," said Dr. mouthful. Also, I have counseled people who exploration COSTECH divers who do not have the ability to connect wajitokeze helped developed. For a long time now the commission has been ikiwasaidia inventors and entrepreneurs to provide training, technical advice and funding to achieve their ideas. "People with ideas wajitokeze aided discovery, because we support entrepreneurs and all those involved in the promotion of science and technology conveyance," he said. He said the deal, an inventor is required to send a proposal in relation to what he wants to do, after COSTECH enables an inventor to ensure that. He inventor relevant structured access to the market and make a profit and that, failing can be no more money instead have to return he got. Among benefited through the program, it is the Agency's wildebeest Making Cars that recently lilipatiwa Sh200 million for the repair of various spare zikiwamo train brakes ...... |
Historia ya tafsiri
|