Envaya

Translations: English (en): User Content: WInSgSv9QFcYOrhqdfWL2SCE:content

Base (Swahili) English

Shirika la SOCOETY FOR WOMEN AND AIDS INA AFRICA (SWAA) linapenda kufanya kazi na watu mbalimbali wa kujitolea  maeneo ya  vijijini hasa wilaya ya Mvomero Wilaya hii ipo katika mkoa wa Morogoro, na kwa sasa shrika linaendesha mafunzo juu ya Haki za Binadamu hususani sheria za watoto. Elimu hii kwa sasa inatolewa katika kamati za shule, wazazi na walezi wawatoto waishio vijijini. TUNAKARIBISHA MAOMBI YA WATU WENYE LENGO LA KUJITOLEA KATIKA SHIRIKA LETU KUTOKA NJE YA TANZANIA KWA SABABU ZIFWATAZO. KWA SASA SHIRIKA LETU LITAKUWA NA UWEZO WA KUWAPOKEA WATU WA KUJITOLEA NA KUSIMAMIA SHUGHULI ZAO NJE YA MJI. MAENEO YOTE YA SEKTA AMBAYO WATAKUWA TAYARI KUJITOLEA, TUNAWAKARIBISHA. PIA IDARA ZOTA KATIKA HALMASHAURI YA MVOMERO AMBAYO WANGEPENDA KUFANYA NAYO KAZI WASEME ILI TUWAOMBEE KIBALI. KATIBA YA SHIRIKA LETU IPO HURU KWA SEKTA ZOTE IKIWEPO RESEARCH. PIA KWA YEYOTE MWENYE UTAALAMU WA KUANDIKA PROPOSOL AU MIRADI TUNAIMBA ATUSAIDIE. KARIBUNI SANA SWAA.

Mawasiliano.

1. JONADHAN DAVID. E- mail swaamo@yahoo.com

2 Prisca Mbezi-0713 249298 prisdavid@yahoo.com au swaamo@yahoo.com 

Agency SOCOETY FOR women AND AIDS INA AFRICA (saa) wants to work with different people to volunteer in rural areas, especially district Mvomero This district lies in the region of Morogoro, and now ally runs training on Human Rights, especially the law of children . This knowledge is currently offered in school committees, parents and guardians wawatoto rural. We welcome APPLICATION FOR PEOPLE WITH GOAL OF COMMITMENT IN OUR ORGANIZATION FROM OUTSIDE BECAUSE OF TANZANIA following. NOW FOR OUR ORGANISATION CAPACITY shall approve all offers and manage their operations out of the city. ALL AREAS OF THE SECTOR which shall be ready to sacrifice, We welcome them. PIA ZOTA DEPARTMENT THAT THE COUNCIL OF Mvomero Would you like to work with Seme CONSENT TO pray for. CONSTITUTION OF OUR ORGANISATION IPO INDEPENDENT RESEARCH accompanied by all sectors. ALSO FOR ANY OWNER OR PROPOSOL Experts WRITING PROJECTS TUNAIMBA help. VERY SOON saa.

Communications.

1. DAVID JONADHAN. E-mail swaamo@yahoo.com

2 Prisca prisdavid@yahoo.com Mbezi-0713 249 298 or swaamo@yahoo.com


In order to edit translations, you need to log in. Log in · Register

Translation History

Google Translate
March 12, 2013
Agency SOCOETY FOR women AND AIDS INA AFRICA (saa) wants to work with different people to volunteer in rural areas, especially district Mvomero This district lies in the region of Morogoro, and now ally runs training on Human Rights, especially the law of children . This knowledge is currently offered in school committees, parents and guardians wawatoto rural. We welcome APPLICATION FOR PEOPLE WITH GOAL OF COMMITMENT IN OUR ORGANIZATION FROM OUTSIDE BECAUSE OF TANZANIA following. NOW FOR...