Envaya

Tafsiri: English (en): Maandiko ya Watumiaji: WIc7A4uMv0EwzXrQxlBAGVVj:content

Asili (Kiingereza) English

Kutoa elimu ya haki za binadamu na kuhamasisha Utawala wa sheria.

Kutoa elimu juu ya sheria.

kuhamasisha maendeleo katika jamii.

kutoa usaidizi wa kisheria na kutatua migogoro katika jamii.

Kuhamasisha maendeleo kwa kuzingatia matumizi bora ya rasilimali zinazoizunguka jamii.

Kutunza na kulinda mazingira.

kutoa elimu ya afya ya uzazi na malezi.

kutoa elimu ya usalama wa chakula.

kuhamasisha kilimo bora na chenye tija.

 

 

(Bila tafsiri)

Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe