Envaya

Tafsiri: English (en): Maandiko ya Watumiaji: WIPk4cKhKj8T9MgPd1OajQQI:content

Asili (Kiswahili) English

large.jpg

Vijana wa Dira Goup waki cheza Lizombe.

large.jpg

Vijana wa Dira Group waki katika mchezo wa kuigiza katika kufikisha ujumbe kwa jamii juu ya sera na sheria za ardhi. Katika igizo wananchi walipata kufahamu namna ya kutatua migogoro ya ardhi, aswa ile ya wakulima na wafugaji na inayo husu mipaka. Mabaraza ya ardhi ya kijiji yalipata fulsa ya kufahamu aina ya migogoro wanayo wajibika nayo.


Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe

Maoni

Dira group inajitaidi kuwafikia wana nchi wa vijiji vya ndani kabisa ambapo wengine ina wawia vigumu.
13 Machi, 2014 na dtg

Historia ya tafsiri

dtg
13 Machi, 2014
(image) – Vijana wa Dira Group waki katika mchezo wa kuigiza katika kufikisha ujumbe kwa jamii juu ya sera na sheria za ardhi. Katika igizo wananchi walipata kufahamu namna ya kutatua migogoro ya ardhi, aswa ile ya wakulima na wafugaji na inayo husu mipaka. Mabaraza ya ardhi ya kijiji yalipata fulsa ya kufahamu aina ya migogoro wanayo wajibika nayo.