Base (Swahili) |
English |
Mpotola Sekondari bado inaendelea kuimarisha elimu, nimekuwa nikifuatilia matokeo ya vijana waliohitimu katika shule ambayo imekuwa miongoni mwa shule za Kata. Awamu ya kwanza shule ilitoa wanafunzi 7 kwenda kidato cha tano mwaka 2009 ambao mwaka huu wamefanya mtihani wa kidato cha sita. Matokeo yao yamefuta ukweli kuwa shule za kata hazina matokeo mazuri bali jitihada tu zinatakiwa. Mwanafunzi mmoja alikwenda Mtwara girls yeye amekuwa mwanafunzi wa kwanza pekee mwenye point 8, mwingine mwenye point 8 alikwenda ndanda, aliyefuatia ana point 10 na wengine point 12 hivyo kunipa matumaini kuwa shule zetu kwa jitihada za walimu na wazazi wanaweza kutoa kilichochema
|