Base (Swahili) | English |
---|---|
1.Kuwahudumia watoto/vijana walio katika mazingira magumu zaidi ili kuwatoa katika umasikini wa aina nne zifuatazo; -Kiuchumi;kwakukutoa elimu ya ujasiliamali kwa wazazi/walezi wa mtoto ;kwakuhakikisha mtoto/kijana anapata elimu sahihi ;kwakumpatia kijana elimu ya ujasiliamali pia elimu yakuendeleza vipaji vyake. -Kiroho: kwakumfundisha mtoto/kijana maadili ya Kiroho ili awe nauhusiano mzuri na Mungu wake. -Kimwili: Kuhakikisha mtoto/kijana anapata matibabu sahihi auguapo :Kutoa elimu ya lishe kwa familia anayoishi mtoto/kijana -Kijamii: Kumfundisha mtoto/kijana namna yakuyatawala mazingira yake pia anavyotakiwa kuhusiana na watu wanaomzunguka. |
1.To rescue and help the children/youths from four kinds of poverty as follws; -Economical peverty by :making sure that the children/youths have proper education. ;Providing interpreneurship to all youths registered at our center. -Spiritually: providing true doctrines. -Physically: making sure each child/youth have proper madical services while is sick and providing health education to children.yuoths and parents/gurdians.
-Socially: providing relavant education on how to sabdue their environment. |
Translation History
|