Envaya

Tafsiri: English (en): Maandiko ya Watumiaji: dMAZ8woqmHtiAJFNnPgeppHc:content

Asili (Kiswahili) English

@Shaban Ramadhani (Isamilo Mwanza (MYCN - Organisation)): 

Nafsi yangu inanielekeza kwamba, Naam, tunaenzi utamaduni wetu. Mfano mzuri ni matumizi ya lugha ya Kiswahili. Hata hivyo changamoto zimekuwa nyingi zaidi kutokana na mwingiliano na tamaduni za kigeni pamoja na kukosekana kwa mazingira rafiki na wezeshi kuendeleza utamaduni wetu.

Nasikitika kwamba nimeukosa mjadala huu kwa muda mrefu toka ulipobandika hili swali.

 

(Bila tafsiri)

Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe