Envaya

Translations: English (en): User Content: WI000C1C2F0E340000041501:content

Base (Swahili) English


Na Grace Ndossa

CHAMA cha Waalimu Tanzania(CWT)kimesema kuwa kusudio la kutangaza mgogoro na serikali liko pale pale kama ilivyopitishwa na Baraza la Taifa la Chama kwa sababu hakuna hatua za makusudi zilizochukuliwa na serikali kukabilia na matatizo ya waalimu hasa wanaoidai.

Pia chama hicho kimetoa wito kwa watendaji wake kuwasilisha majina ya waalimu wanaodai kwa kuzingatia maelekezo yaliyotolewa kwao.

Hata hivyo alisema kuwa wanachama wanaobwa kushirikiano na viongozi wao japo kuwa inaonekana kuwa ni usumbufu kwa kuwasilisha nyaraka mara nyingi bila ya kuyapatiwa ufumbuzi.

Kauli hiyo ilitolewa Dar es salaam jana na Rais wa Chama hicho Bw. Gratian Mukoba alipokuwa anazungumza na waandishi w
a habari kuhusina na maazimio waliofikia walipokaa na serikali kujadili madai yao.

Alisema kuwa walimu wanatakiwa kuendelea kuwa na subira wakati majadiliana yakiendelea na serikali ili kujua hatma ya madeni yao baada ya kikao kilichopangwa kufanyika kabla ya mwezi huu kukamilika.

Alisema kuwa maazimio yaliyofikiwa na kikao hicho ni chama kiwasilishe majina ya waalimu wanaodai kwa kuzingatia format iliyokubalika ili kiweze kudhibitisha madai yaliyowasilishwa ya zaidi ya sh bilioni 29.2.

Alisema kuwa majina hayo yanatakiwa kuwasilishwa kwa katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menenjimenti ya Utumishi wa Umma kabla ya Agosti 15 mwaka huu nyaraka zenye majina ya walimu hao.

'Serikali ilikuwa na wasiwasi kuwa huenda wanaodai ni wale waliokwishalipwa au waliowasilishwa nyaraka zao na mkaguzi na mdhibiti wa Hesabu za serikali alikataa madai yao na aidha walikata rufaa wakakataliwa au hawakukata rufaa,'alisema Bw. Mukoba.

Pia alisema kuwa majina ya walimu waliokuwa wanastahili kupandishwa madaraja kwa miaka ya nyuma lakini hawakupandishwa mwaka jana wa fedha kwa madai kuwa mwajiri hakuwa na fedha, hawa ni walioanza kazi mwaka 2007, waliopandishwa madaraja kwa mwaka jana wa fedha.

Hata hivyo alisema kuwa serikali inatakiwa kuangali upya waraka wa utumishi wa Kumb. Na.C/CA.44/45/01/84wa Desemba 1 mwaka 2009 ambao umelalamikiwa sana na waalimu wanaojiendeleza.

Bw. Mukoba alisema kuwa ushauri uliotolewa kwa siku zijazo viongozi wa CWTngazi za Wilaya washirikiene na wakurugenzi kuhakiki madeni ya waalimu kila baada ya miezi mitatu ili kwa pamoja wabaini madeni mapema na taarifa iwe moja kuepuka uisumbufu unaojitokeza kwa sasa.

'Walimu wakumbuke kuwa kuwasilisha madai huku akijua kuwa si madai halali ni kosa la jinai na atakayebainika mwajhiri wake atachukuliwa hatua za kinidhamu ikiwa ni pamoja na kufikishwa mahakamani,'alisema Mukoba

Alisema kuwa Pande zote mbili kwenye kikao hicho kilikubalina kuwa serikali itaitisha kikao kingine kabla ya Agosti 30 mwaka huu baada ya CWT kuwasilisha majina Agosti 15 ili kwa pamoja pande zote zipitie na kuona ukubwa wa tatizo la madai ya waalimu kama yalivyowasilishwa, baada ya kukusanya madeni kutoka mikoani na kikao hicho ndicho kitatoa hatma ya utekelezaji.
"


And Grace Ndossa

The Tanzania Teachers Union (CWT) has undertaken to announce that the intent of the crisis and the government is there as ilivyopitishwa and the National Council of the Association because there is no deliberate steps taken by governments kukabilia problems for teachers, especially those who claim it.

Also the party has given a call for actors to submit names of teachers who claim to adhere to the instructions given to them.

However he said that the members are requested to co-leaders, though they have apparently become an inconvenience to submit documents often without kuyapatiwa solution.

Statement released in Dar es Salaam yesterday, Mr President of the Association. Gratian Mukoba while he talked with reporters
a story w kuhusina resolutions were reached dwelling and government to discuss their concerns.

He said that teachers should continue to be patient while continuing to negotiate with the government to know the fate of their debt after the session scheduled to take place before the completion of this month.

He said that the resolutions reached by the meeting are members submit names of teachers who claim to comply with agreed format to be able to confirm the claim filed over sh 29.2 billion.

He said that these names should be submitted to the Secretary General to the President's Office, Public Service Menenjimenti before August 15 this year the documents containing the names of those teachers.

'The government was concerned that perhaps it is those who claim kwishalipwa or who submitted their documents to the auditor and comptroller of accounts of the government refused their demands and appealed to him either rejected or did not appeal,' said Mr. Mukoba.

He also said that the names of teachers who were eligible for promotion to grades in previous years but were not promoted to finance last year alleging that the employer had no money, these are those who started work in 2007, who led classes for the fiscal year.

However he said that the government should review the document's reference service of Ref. Na.C/CA.44/45/01/84wa 1 December 2009, which has been accused by teachers who are highly developed.

Mr. Mukoba said that the advice given to the future leaders of the District CWTngazi washirikiene and liabilities of directors to assess teachers every three months in order to jointly identify the debt early and one should avoid uisumbufu information that is emerging now.

'Teachers should remember that knowingly submitting claims that are not legitimate claims is a crime and who found his mwajhiri will be taken no disciplinary action including court appearance, "said Mukoba

He said that the two sides in the session kilikubalina that the government shall I ask for next session before August 30 this year after CWT submit names on August 15 in order to include both zipitie and see the magnitude of the problem of claims of teachers as yalivyowasilishwa, after collecting debts from hinterland and the session is what will provide the prospect of execution.
"

In order to edit translations, you need to log in. Log in · Register

Translation History

Google Translate
November 18, 2011
(image) – And Grace Ndossa – Tanzania Teachers Association (CWT) has undertaken that the purpose of declaring the crisis and the government is there as ilivyopitishwa and the National Council of the Association because no...
Google Translate
August 3, 2011
(image) – And Grace Ndossa – The Tanzania Teachers Union (CWT) has undertaken to announce that the intent of the crisis and the government is there as ilivyopitishwa and the National Council of the Association because...
This translation refers to an older version of the source text.