Base (Swahili) |
English |
Indaba africa imeanza mwaka 2007 ikijielekeza zaidi katika kutoa huduma za mwasiliano ya teknolojia ya habari na hasa huduma za Internet katika wilaya ya Mbozi katika mkoa wa Mbeya. Ikumbukwe kuwa wilaya ya Mbozi ambayo kwa idadi ya wakazi wake inachukua nafasi ya kwanza katika mkoa mbeya kwa wilaya zake ambapo inakadiriwa kuwa na watu 700,000. Kwa kipindi kirefu imekuwa ikikabiliwa na matukio ya uhalifu ambao katika hali ya kawaida matukio yake yamekuwa yakishtua umma wa watanzania na dunia kwa ujumla, lakini hii yote ni matokeo ya uelewa na mabadiliko ya pole pole ya jamii ya wananchi wake na kwakuzingatia hilo Indaba iliona pengo la upatikanaji wa habari na pia kuunganisha jamii hiyo kutoka vijijini na maeneo mengine. Ninafuraha kutamka kuwa toka kuanza kwake jumla ya wateja na watumiaji wa internet wapatao 271,312 wamehudhulia na kuhudumiwa na vituo vyetu vya Internet wilayani Mbozi. Nia ni kupanua huduma hii hadi pembezoni kabisa ambako watu wamekosa fulsa hii
|
Indaba africa ikijielekeza begun in 2007 in providing services mwasiliano of information technology and especially Internet services in Mbozi district in Mbeya region. It should be noted that the district Mbozi which its population takes first place in its territory for fullsize region where an estimated 700,000 people. For a long time has suffered from incidents of crime which in normal cases it has been yakishtua public of Tanzania and the world in general, but this is all a result of understanding and changing gradually the community of its citizens and kwakuzingatia the Indaba observed gap access to information and also connect the rural communities and other areas. Ninafuraha from start to declare its total customers and about 271,312 internet users have hudhulia or served with our Internet stations Mbozi district. The intention is to expand this service to the edge where people have done this fulsa
|