Asili (Kiswahili) | English |
---|---|
Mafuliko Dar es salaamStrecco imefanya kazi kubwa miezi michache iliyo pita ili kusaidia jamii iliyokubwa na mafuliko katika eneo la msimbazi jijini Dar es salaam. Mafuliko hayo yalitokana na mvua nyingi ambazo hazijawahi miaka hamsini iliyo pita. Kwa kweli mvua hizi zimeleta maafa makubwa sana mpaka sasa watu hawana mahali pa kuishi, nyumba zao zimebomolewa na maji ,watu wasiopungua arobaini wamekufa kutokana na janga hilo . Kwahiyo sisi kama Strecco tumeguswa sana na janga hili kwasababu wathirika wengi ni watoto. |
Mafuliko Dar es salaamStrecco imefanya kazi kubwa miezi michache iliyo pita ili kusaidia jamii iliyokubwa na mafuliko katika eneo la msimbazi jijini Dar es salaam. Mafuliko hayo yalitokana na mvua nyingi ambazo hazijawahi miaka hamsini iliyo pita. Kwa kweli mvua hizi zimeleta maafa makubwa sana mpaka sasa watu hawana mahali pa kuishi, nyumba zao zimebomolewa na maji ,watu wasiopungua arobaini wamekufa kutokana na janga hilo . Kwahiyo sisi kama Strecco tumeguswa sana na janga hili kwasababu wathirika wengi ni watoto ambao |
Historia ya tafsiri
|