Base ((unknown language)) |
English |
KIDI imejitoa kwa moyo kuboresha hali ya maisha ya jamii ya watu waishio vijijini, kwa kuinua ubora wa elimu kwa watoto na watu wazima, kuendeleza upatikanaji wa maji safi na salama, kuhifadhi chakula, mazingira, kusaidia vikundi vya maendeleo vya kuweka na kukopa na utekelezaji wa MKUKUTA kwa kutoa elimu ya utawala bora.
|
KIDI is committed to improve the standards of living to rural grassroots communities by promoting quality education to children and adults, enhancing availability and access to clean and safe water, realisation of food security and sustainable environment.
|