Asili (Kiswahili) | English |
---|---|
wapa tunapokea vijana wengi wanaohitaji huduma ya upimaji wa vvu kwa hiari lakini tunashindwa kutoa huduma hii kwani kituo chetu hakina wataalam waliosomea upimaji tunaomba tusaidiwe ili huduma hii ipatikane,na katika mtaa huu wa mshikamano hakuna kituo kinachotoa huduma hii ya upimaji, maoni waliotoa vijana waliofika katika ofisi za wapa,walisema wanahitaji wapate huduma hii kwa karibu zaidi |
give, we receive many young people who need care HIV testing voluntarily, but we are unable to provide this service as the center of our no experts who studied periodic praying tusaidiwe to this service available, and in this location of solidarity there is no facility kinachotoa this service for testing, feedback that provides young people who come in offices give, they said they might need this service more closely |
Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe
Historia ya tafsiri
|