| Base (Swahili) |
English |
 Mwanamuziki Ludacris kutoka nchini Marekani akizungumza na waandishi wa habari katika mkutano uliofanyika asubuhi hii kwenye hoteli ya Kilimanjaro Kempinski jijini Dare es salaam, Ludacris alikuwa akizungumzia onyesho lake atakalolifanya kesho, katika tamasha la Mwendelezo wa msimu wa dhahabu unaoendelea na Serengeti Fiesta, linalotarajiwa kufanyika kesho kwenye viwabja vya Leaders Club jijini Dar es salaam, katika picha kulia ni Mkurugenzi wa radio Clouds Ruge Mutahaba. Ludacris amesema anazo albam saba hivyo katika albam hizo anatarajia kutoa burudani ya kutosha ili kukonga mioyo ya mashabiki wa wa muziki wake nchini Tanzania  Mwanamuziki Ludacris wa pili kutoka kulia akiwa katika mkutano huo kulia ni Ruge Mutahaba mkurugenzi Clouds kushoto ni Caroline Ndungu, aliyekuwa mkurugenzi wa Masoko wa Serengeti Breweriers na Meneja wa bia ya Serengeti Lager Allan Chonjo. Meneja wa bia ya Serengeti Lager Allan Chonjo akizungamza katika mkutano wa waandishi wa habari wakati alipozunguzia tamasha la Serengeti Fiesta, linalotarajiwa kufanyika kesho kwenye viwanja vya Leaders Club, katikati ni Mwanamuziki Ludacris na mwisho ni Mkurugenzi wa Clouds Ruge Mutahaba. http://fullshangwe.blogspot.com/"
|
 Musician Ludacris from the United States speaking to journalists at a news conference held this morning in the hotel Kilimanjaro Kempinski in Dare es salaam, Ludacris was referring to show his will kalolifanya tomorrow, the festival of Continuity season of gold going to Serengeti Fiesta, expected to take place tomorrow at viwabja of the Leaders Club in Dar es salaam, the picture at right is the director of radio Clouds Maruge Mutahaba. Ludacris has said it has the seventh album in the album is expected to provide enough entertainment to the hearts of fans of the trunk of his music in Tanzania  Musician Ludacris second from right at the summit right Maruge Mutahaba Clouds director left is Caroline Ndungu, who was director of Marketing and Manager Breweriers Serengeti Serengeti Lager beer Allan incitement to quarrel. Manager of the Serengeti Lager beer was zungamza Allan incitement to quarrel at a meeting of the reporters when he pozunguzia Serengeti Festival Fiesta, expected to take place tomorrow on the grounds of the Leaders Club, the center is the artist Ludacris and finally Director of Clouds Maruge Mutahaba. http://fullshangwe.blogspot.com/ "
|