Base (Swahili) |
English |
Kaimu mwenyekiti wa umoja wa vijana wa CCM taifa (UVCCM),Benno Malisa akifungua tawi la chama hicho eneo la Majengo juzi wakati wa ziara ya uzinduzi wa matawi ya chama hicho wilayani Arusha,pembeni yake kushoto ni mbunge wa viti maalumu kupitia umoja huo mkoani Arusha,Cathwrine Magige. Kaimu mwenyekiti wa umoja wa vijana wa CCM (UVCCM) ngazi ya taifa,Benno Malisa akizungumza na wafuasi wa umoja huo nje ya jengo la makao makuu ya umoja huo mkoani Arusha juzi kabla ya ziara ya uzinduzi wa matawi mbalimbali ya chama hicho mjini hapa,pembeni yake ni mwenyekiti wa UVCCM mkoani Arusha,James Ole Milya Mbunge wa viti maalumu kupitia UVCCM mkoani Arusha,Catherine Magige akiwapungia mkono wafuasi wa umoja huo nje ya jengo la makao makuu ya chama hicho mkoani Arusha wakati wa ziara ya uzinduzi wa matawi ya chama hicho wilayani Arusha,zaidi ya matawi 20 ya chama hicho yalifunguliwa katika sehemu mbalimbali.picha na Moses Mashalla -Arusha.
|
Acting chairman of the youth wing of the CCM national (UVCCM), Benno Palisa opening a branch of the party area of Buildings yesterday during a visit to the launch of the branches of the party district of Arusha, next to his left is a member of the seats appointed by the coalition in Arusha , Cathwrine Magige. Acting chairman of the youth wing of the CCM (UVCCM) national level, Benno Palisa speaking to supporters of the coalition out of the building of the headquarters of the coalition in Arusha on Wednesday before a trip to the inauguration of the various branches of the party in here, aside is chairman of the UVCCM in Arusha, James Ole lya Member of the seats appointed by UVCCM in Arusha, Catherine Magige waving hand supporters of the coalition out of the building of the headquarters of the party in Arusha during the visit to the launch of the branches of the party district of Arusha, most of the branches 20 of the party opened in mbalimbali.picha part and Moses Mashalla-Arusha.
|